Recent content by Sa Na Ta I Za

  1. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC): Uchaguzi Mkuu utafanyika Oktoba 28, 2020

    Tume, igeni mfano kwa CCM. TBC ya Ayubu Rioba, tunaomba matangazo LIVE ya uhesabuji kura majimboni. Hapo uchaguzi utakuwa huru na wa haki.
  2. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!

    Pascal Mayalla, Kwani mgombea hajipigii kura mpaka upate 0 mkuu? Pole.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania kushangilia kuangushwa kwa Makonda katika kura za maoni Jimbo la Kigamboni kunaashiria nini?

    Unafurahi kwa muda, huyo Sasa ndie atakayeleperusha bendera ya CCM kigamboni, aliyeshinda maoni si alitumbuliaa kwa ukosefu wa nidhamu kwa kumkosoa mkuu. Hapenyi popote Wala....
  4. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wahariri wafarijika kwa waandishi wa habari kuruhusiwa kuwamo ndani ya ukumbi wa Mkutano wa CCM

    Tume Huru Ya Uchaguzi, pamoja na Shirika la Habari La Taifa, jifunzeni kwa CCM KUTULETEA uchaguzi LIVE, na uhesabuji wa KURA LIVE! JPM kura yangu unayo hiyo October 2020, na nitapenda kura yangu ihesabiwe LAIVU.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili kuiokoa CHADEMA?

    Labda mmoja wapo aamue kuwa mzanzibari ! Wabara wote hawakidhi takwa la mgombea,na mgombea mwenza!
  6. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 John John Mnyika kutogombea ubunge mwaka huu 2020

    Ukatibu mkuu Ni ajira, mshiko anaupata Kama mtendaji mkuu wa chama, ubunge, Cha Mtoto!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 muhimu kufahamu kuhusu Tanzania kuingia Uchumi wa Kati

    Inside10, Asante Mwalimu wa Zamu.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Lissu: Tulipomfukuza Zitto Spika alizuia, ila Lipumba akifukuza wabunge anakubali haraka

    Kuna wabunge waliotolewa bungeni baada ya kufutwa uanachama wa chama Chao, hivi ilikuwa Ni enzi wa Samweli Sitta eeh! Muda utaongea, na ukiwa muongo, uwe na kumbukumba Basi. Sa Ni Ya I Za Sent using Jamii Forums mobile app
  9. S

    JamiiForums Tanzania Zanzibar yatangaza ongezeko la Wagonjwa 29 wa COVID19. Jumla ya visa visiwani humo yafikia 134 (Mei 07, 2020)

    Hakuna maambukizi mapya! Osha mikono kwa sanataiza
Back
Top Bottom