Recent content by s02tz

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kutoka Bunge la Katiba la Chit chat!

    Asali itatumika kama juice itareplace juice za miwa kule kariakoo
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kutoka Bunge la Katiba la Chit chat!

    Sio mbaya
  3. S

    JamiiForums Tanzania 'Brazamen, Bitoz, sista du'

    Palikuwa na raba zenye chata ya NDOPU ziliwah kunukisha miguu yangu
  4. S

    JamiiForums Tanzania Una tatizo la AC yako ?

    Nahitaji hii kitu
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mabati ya Migongo mipana yanauzwa

    Boss mabati hayo ni ya gage gani
  6. S

    JamiiForums Tanzania Bei za viwanja Boko na Bunju

    Naomba nijaribu kuelimisha kidogo, kiwanja kilichopimwa kwa mil 3.5 hii ni ngumu kupata kwa uzoefu wangu. Thamani ya mita moja ya mraba kwasasa inapatikana sio chini ya 15000 itawezekanaje upate kiwanja kwa hela hyo, otherwise kuna mambo mawili yanayofanyika kitaalam, kuna demarcation na survey...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Historia ya wale jamaa wa kilindi walioitwa magaidi

    Pona ya communism unawezaje kuidefine ukiwa ktk nchi kama tz@mwanga
  8. S

    JamiiForums Tanzania Utafanyaje?????

    Mleta hii story hebu nambie ulifanikiwa kujua pa kumzika kabla hujaandika hii maana nimekwama hapo
  9. S

    JamiiForums Tanzania Utafanyaje?????

    Du! Itabd nimzungushe nyuma ya nyumba ila nitamwambia ukweli kwamba kuna nyoka lakn yupo nje ila sasa yule mwanamke ndio kimbembe maana pakumzika sasa!!!!!
  10. S

    JamiiForums Tanzania Historia ya wale jamaa wa kilindi walioitwa magaidi

    Du haya mambo kimsingi yanahitaji umakini sana, wakati mwingine tunakosea kwa kukubali watu wengine kutucontrol psychologically hata wakibomolewa hyo miskit ingefaa wakamatwe ili wapewe elimu na wajirekebishe otherwise wataendelea kuharibu na wengine pia
  11. S

    JamiiForums Tanzania mhhhhh

    Maisha hayo ni humu nchini tu wenzetu haya kwao miujiza ila tz kawaida....wee hujiuliz vijana tunatoka mbagala tunafanya kazi kwa wahindi tunalipwa mshahara 100, 000 nauli 2000 kila siku, kodi ya chumba 30, 000 kwa mwezi na kila siku tunakula chakula cha buku tukiwa kazi hebu tengeneza bajeti nione
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nina hamu na hiki kitu sana.

    Du du du!!!! Huyu nguruwe alikuwa bado mdogo wale wapishi wa mama kamche nadhani wambaka muda wake ulikuwa bado
  13. S

    JamiiForums Tanzania Asubuhi hatuogi

    Kama mtu kapita chochoro katongoza kisha katoswa akiweza kupata maji akaoga inampunguzia machungu......kutoswa noma
  14. S

    JamiiForums Tanzania Asubuhi hatuogi

    Hapo ipo dalili kuna la ziada ila pia watu wengine wanatumia maji kupunguza stress
Back
Top Bottom