Recent content by s.crony

  1. s.crony

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa mauaji ya bilionea Msuya kuna uwezekano kuachiwa huru na Mahakama

    Sio ujinga wa bahati mbaya....rupia inakuwa ishapenyezwa loopholes zinatengenezwa makusudi.
  2. s.crony

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ureno (Portugal) ni masikini?

    Ni uvivu...hakuna mzungu mvivu na mpenda raha kama mreno shubaaamittt
  3. s.crony

    JamiiForums Tanzania Natafuta watoto wa paka

    Hii labda kwako....waghana na wanaijeria wanatafuna hawa viumbe balaa :D:D
  4. s.crony

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe kutopenda ubalozi wa Israel

    Agenda ni UKANDAMIZAJI....sio uchumi,sio ujamaa wala ubepari.Je tuuache ubinadamu wetu,utu wetu sababu uchumi?
  5. s.crony

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe kutopenda ubalozi wa Israel

    Yaani mtoa mada atakuwa na utando mzito kwenye ubongo.Mtanzania au Mbunge sasa asihoji maamuzi ya serikali yetu aidha atakuwa katumwa na mabeberu au ni mdini.....?
  6. s.crony

    JamiiForums Tanzania Kumekucha Dar: Mwalimu St. Florence abainika kugeuza watoto kuwa wake zake, wazazi waja juu

    Kwa hio akiwa day kina mwl.ayub ndio hawawezi kufanya ushenzi wao?.Kumbuka muda mwingi watoto wetu huwa na walimu wao (shuleni) kuliko wanaokuwa nao na sisi wazazi wao.Jambo kama hili limefikia mpaka hatua hio ni kwa uzembe mkubwa shuleni na sisi wazazi.Huyo mwalimu hakuanza na kufanya yote hayo...
  7. s.crony

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahm Kinana amwandikia barua Mwenyekiti wa CCM Taifa, Magufuli akiomba kujiuzulu

    Una kaarufu kau-kada:):D.....nisamehe ndugu yangu maana kumuita mtu CCM ni sawa na kumpa sifa ya wizi
  8. s.crony

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahm Kinana amwandikia barua Mwenyekiti wa CCM Taifa, Magufuli akiomba kujiuzulu

    Tulioongea ni sisi mnaodai tunahongwa na mabeberu tuitukanishe nchi,lakini ajabu mnajua shutuma zake na bado mpo nae ingawa mara kadhaa aliomba ajiuzuru na mkawa mnamgomea,leo ujangili unashamiri?vivyo hivyo kwa lowassa wa CCM alisemwa fisadi na miaka alikuwa kwenu ajabu alivyotoka ndio agenda...
  9. s.crony

    JamiiForums Tanzania Hivi Rwanda wana maendeleo yapi kwa mfano? Unajua vitu vingine vinachekesha mno jamani

    Angeweza?tungegeuza kamkoa ka nchi kao tule totoz za kitusi bureeeee
  10. s.crony

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahm Kinana amwandikia barua Mwenyekiti wa CCM Taifa, Magufuli akiomba kujiuzulu

    Mmekuwa watu wa ajabu sana na chama chenu,mpaka mtu atoke au ajiengue kwenye cheo ndio mnaanza kumjadili maovu yake?ndio hapo mnatuaminisha kweli hicho ni kijiwe cha majambazi
  11. s.crony

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Makongoro Nyerere ukiikubali nafasi ya Ukatibu Mkuu CCM umekwisha kisiasa

    Ni aheri ya mropokaji mwenye akili kuliko zuzu kama Polepole,Mako anaweza kufit vizuri tu
  12. s.crony

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Makongoro Nyerere ukiikubali nafasi ya Ukatibu Mkuu CCM umekwisha kisiasa

    Naunga mkono hoja
  13. s.crony

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahm Kinana amwandikia barua Mwenyekiti wa CCM Taifa, Magufuli akiomba kujiuzulu

    Chama Cha Majambazi......will die a natural death
  14. s.crony

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya Tanzania wazungumzia madai ya kuwasili kwa mabilioni ya Dkt. Shika

    Pesa huweza kupita ikiwa ni kwa cargo/parcel na sio kwa kubeba mzigo wote inperson
  15. s.crony

    JamiiForums Tanzania Kuapishwa kwa majaji Ikulu: CAG mbele ya Rais Magufuli, akanusha Shilingi trilioni 1.5 kuibwa/kupotea

    Where is one point five Trii?
Back
Top Bottom