Recent content by Ryabagosi

  1. R

    Najuta: nilioa mke kwa kuvutiwa sura na umbo lake

    Kwani kabla hujamuoa uliomba ushauri kwa nani?kama yupo nenda kwa huyo huyo akushauri tena.Vinginevyo kaa kimya kama unayenyolewa.
  2. R

    Gas ni ya watanzania si mtwara

    Ni kweli kabisa ndg yangu,rasrimali zote ni za watanzania wote na tunayo haki ya kuzitumia,ingekuwa hivyo kama wanavyohitaji wana Mtwara,basi kila mkoa hapa TZ ungelitumia rasrimali zinazopatikana mahali husika.Nina wasiwasi kama walioandamana kweli ni wana Mtwara,maana nchi yetu sasa hivi raia...
Back
Top Bottom