Recent content by rutta

  1. R

    TANZIA: Mhadhiri wa Chuo Kikuu na Mwandishi wa vitabu Dominic Thabit Msabila afariki dunia

    Ni huzuni na kilio kisicho na kifani kuondokewa na mwalimu, mwandishi mahiri wa somo la Geography (Physical na Human) ndugu yetu Dominic Thabit Msabila (D.T). Mwalimu Msabila kwa kutumia kalamu yake amewasaidia vijana wengi kwa kutoa vitabu vyake kupitia kampuni ya Nyambari Nyangwine...
  2. R

    Serikali ituambie vijana mliowachagua kujiunga vyuo ngazi ya cheti baada ya kidato cha tano mtawapa pesa za kujikimu vyuoni, au mmeamua kufanya siasa

    Hoja nzuri sana. Mzazi aliyekuwa analipa 0 toka msingi hadi kidato cha 4, mwanae akiingia chuo kusomea ngazi ya cheti atakumbana na gharama zifuatazo: karo 1,000,000+_ kwa mwaka hostel: za chuo 450, 000. nyingine:900000 nauli+chakula+matumizi mengine: 1,000,000/=+_ kwa kifupi, Jumla si chin ya...
  3. R

    Barua ya wazi kwa Mkuu wa Chuo cha Biashara (CBE) Dar es Salaam Prof. Emaneul Mjema

    CBE now is excelling. Mwandishi anaonekana mzembe hivyo hapendi watu serious kama MAIGE NA ASSEY. Hebu vijana someni acheni 'siasa kwenye taaluma'.
  4. R

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Kimara mabomu yanalipuliwa zaidi ya manane sasa. Wananchi wameanza kuyazoea hivyo hawatishwi kwa Hali ilivyo.nahisi polisi wetu wanahitaji semina elekezi juu ya ulipuaji mabomu na kanuni ya uzoeshi.Kwani wanaona sifa kufanya hivyo Mara nyingi wakidhani wanawatisha wananchi kumbe wanawapa uzoefu...
Back
Top Bottom