Recent content by Ruth kadenge

  1. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi ya Stationary, m -pesa, customer care, au kwenye supermarket. (Moshi)

    hello wana jf: najafuta kazi mojawapo kati ya hzo hapo kwenye title, mwenye kufahanu wapi naweza kupata iwe ni moshi. anijuze kuptitia namba 0769453959 au 0656361001 email: ruthjosekade@gmail.com ASANTE.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya hotel management.

    Zanzibar hotel gan?
  3. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya hotel management.

    Jaman wana jf: nina sister angu ana certificate ya hotel management. Hivyo anatafuta ajira mwenye kujua wapi anaweza pata awasiliane nae . 0717 029568 Email: ruthjosekade@gmail.com.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa hili.

    hello wana jf, naomba msaada kwa hili. nina certificate ya accountancy. je naweza kuapply diploma ya ualimu? ...,
  5. R

    JamiiForums Tanzania Jamani kwa anaye fahamu chuo chochote cha misuti .

    asante kilembwe
  6. R

    JamiiForums Tanzania Jamani kwa anaye fahamu chuo chochote cha misuti .

    mda gani wanaanza kutuma maombi? na kuhusu fees inakuwaje? na wanaangalia vigezo gani?..
  7. R

    JamiiForums Tanzania Jamani kwa anaye fahamu chuo chochote cha misuti .

    nadhani ni makosa ya uandishi namaanisha chuo cha misitu.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Jamani kwa anaye fahamu chuo chochote cha misuti .

    nataka kujiunga na chuo cha misitu anayefahamu, kiko mahali gani, na maelezo kuhusu hicho chuo anijuze. kwa sababu sielewi nianzie wapi, asanteni wana jf.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    oky, ila nakaribisha mawazo mengine kwa anayeweza kunisaidia
  10. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    mimi ni msichana mwenye elimu ya form four, na nina certificate of elementary course in librarianship. pia nimesomea short course ya computer. na kazi ambazo nimewah kufanya nimewah kutoa huduma za stationary, huduma za m pesa, tigo pesa na airtel money kwa mda wa mwaka mmoja na miez miwil, ila...
Back
Top Bottom