Jamani kila mtu Ana mapungufu yake haukna ambaye ni perfect cha msing ni kuvumliana,kurekebishana na maisha uaendelee.maana ukiamua kuacha kuoa mwingne na kuacha.jombaa utaacha wangapi....
Cha msingi Nenda kaonane nae ,tena kaa nae karib ukiendelea kumchunguza na kuongea nae ,ukiona huoni dalili yoyote ya mimba muulize ili ipate uhakka ili usiendelee kuumia japo ukweli unauma
Nenda hospital wangu wakupime mwanza unaweza Tunis dawa ukizingatia ushauri wa watu Kumbe unazidisha tatzo ,cha msingi Nenda ukapimwe ngozi yako mpka damu ,kwasababu huenda unamchafuko kwenye damu yako ndo mana ngozi inakua dhaifu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.