Recent content by Rutaya

  1. R

    Nauli ya kutoka Loliondo kwenda Arusha imebadilika bila kutangazwa na SUMATRA

    Tangia mwezi Desemba nauli ya kutoka Loliondo kwenda Arusha ilipanda kutoka 20,000 hadi 25,000. Mabadiliko haya hayakutangazwa na SUMATRA. Miaka miwili iliyopita nauli ya kutoka Loliondo mto wa mbu kwa bus ilikuwa 17,500 ikaja kubadilika kimya kimya ikawa 20,000 na sasa ni 25,000. Naomba...
  2. R

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Wadau wa huduma za kifedha naomba ufafanuzi ikiwa Uendeshaji wa NMB Wakala Ifumbula, Wilayani Tanganyika ni Tawi la NMB au biashara binafsi. Jengo linaonekana kama lilijengwa na Benki ya NMB, watohuduma wanafanya kazi muda wa kazi sawa na NMB lakini ofisi yao imeandikwa NMB wakala na makato...
  3. R

    Nataka kununua TV, nawezaje kutofautisha smart TV na TV ya kawaida?

    Makubwa! Kweli dunia ipo mbali! Asante kwa kunijuza
  4. R

    Death by computer Ethiopian air disaster

    Kwanini walijua umuhimu wa kifaa hicho kwenye usalama wa ndege halafu wasihakikishe rubani anafahamu matumizi yake?
  5. R

    Death by computer Ethiopian air disaster

    I'm confused! If your argument holds true, the manufacturer must face murder case!
Back
Top Bottom