Recent content by rutalejr

  1. R

    Biashara ya Viungo (Spices)

    Natafuta vanilla kavu kiasi chochote, Mwenye nazo anicheki 0679699729
  2. R

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Natafuta vanilla kavu kiasi chochote, Mwenye nazo anicheki 0679699729
  3. R

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Nahitaji pilipili Manga, mwenye uwezo wa kupata kiasi chochote mpaka Tani 25 ani PM
  4. R

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Mwenye connection na upatikanaji wa Iliki mbichi tafadhali anichek 0679699729
  5. R

    Biashara ya Viungo (Spices)

    Hi broo, Niko na utalaamu wa vanilla, tunalima na kuuza vanilla beans tupo bukoba kagera, pia Dar Es Salaam unaeza Pata mzigo. Vp unaweza kuhitaji Sent using Jamii Forums mobile app
  6. R

    Hivi hawa wanaomsifia Magufuli huwa wanalala kweli?

    Wewe unalala sa ngapi, kama unaona niko on line nawe we uko online means wote hatujalala. Think logically Sent using Jamii Forums mobile app
  7. R

    Natafuta soko la Oil Chafu (Crude Oil) Jijini Dar

    Unatafuta kununua au kuuza?
  8. R

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Niko na mayai ya kuku Chotara, trei 500 kwa wiki napatikna dar madale, sh 5500 kwa trei mwenye connection please anisaidie Sent using Jamii Forums mobile app
  9. R

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Boss, niko na tangawizi but kigoma vp unaeza hitaji Sent using Jamii Forums mobile app
  10. R

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Zipo mbao Aina tofauti, asa softwood na hardwood. Ni pm tuongee biashara Sent using Jamii Forums mobile app
  11. R

    Natafuta soko la vanilla kavu

    Za muda huu , Ninazo vanilla kavu naziuza na napatikana Dar es Salaam, survey kwa ambae ana ufahamu juu ya soko naomba nicheki please 0742248055, nipate kuziuza Nimezitoa morogoro Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom