Kampuni ya kusambaza vinywaji vikali (wines & spirits) inahitaji watu wa kufanya mauzo (salesmen/ladies). Wawe na sifa zifuatazo:
Cheti cha kidato cha nne au zaidi
Umri wa miaka 25 au zaidi
Uzoefu wa miaka mitatu katika kufanya mauzo ya mlango kwa mlango (door to door selling)
Leseni ya udereva...
Huyo hatatufaa. Mtu anayehitajika anatakiwa awe na sales skills (preferably za vinywaji vikali) ambaye atakabidhiwa gari na kwenda kufanya mauzo mwenyewe kwa wateja.
A liquor distribution company based in Dar es Salaam is urgently looking for exoerienced salesmen/ladies to join its marketing team.
Preferred candidates must possess at least a Form 4 certificate and above, 25 years of age or above, a valid driving license plus three years experience in door...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.