Recent content by Russia_Norway

  1. R

    Naombeni ushauri kuhusu mahusiano haya ya mama yangu na huyu mwanaume

    Mkuu kwa kweli we umeelewa nilicho manisha,watu wanadhani tunafalia urithi la hasha.Katika watoto 4 tuliobaki ni Mimi peke yangu ndio bado nasoma ndungu zangu wengine tayari wana maisha yao na Mara nyingi nimekuwa nikiishi kwa kaka yangu. Watoto wote kwa kuwa tumezaliwa na baba tofauti hapa...
  2. R

    Naombeni ushauri kuhusu mahusiano haya ya mama yangu na huyu mwanaume

    Habari zenu, Nimekuja na ID mpya ili kuficha utambulisho wangu wa awali ni kuomba msaada wa ushauri. Naombeni ushauri na njia za kutatua tatizo hili.Ipo hivi kwenye tumbo la Mama yetu tulikuwa watoto 7 hadi Leo hii tupo 4. Katika watoto 7 tumezaliwa na Baba tofautitofauti 4. Katika hao baba...
  3. R

    Shida ya Tanzania ni nini haswa - tuseme ukweli

    Matatizo ya Tanzania chanzo ni nyerere na ujinga wa wananchi wetu uliopindukia.
Back
Top Bottom