Recent content by RUSOWEA

  1. RUSOWEA

    JamiiForums Tanzania Msaada wa gharama za uhamisho

    Ukiwa ndani ya halmashaur haulipwi pesa ya kujikimu
  2. RUSOWEA

    JamiiForums Tanzania Msaada wa gharama za uhamisho

    Ni kama km 30 hiv
  3. RUSOWEA

    JamiiForums Tanzania Msaada wa gharama za uhamisho

    Nahamishwa Mkuu
  4. RUSOWEA

    JamiiForums Tanzania Club World Cup final live stream

    Game nazipata live kupitia sim yang ndogo vip kweny TV kuna installation yeyote inahitajika ili kuangalia hiz mechi
  5. RUSOWEA

    JamiiForums Tanzania Club World Cup final live stream

    Vip nikitaka kuangalia kupitia TV yang nafanyaje
  6. RUSOWEA

    JamiiForums Tanzania Club World Cup final live stream

    Nimeipenda hiyo kiongozi
  7. RUSOWEA

    JamiiForums Tanzania Msaada wa gharama za uhamisho

    Habarini wapendwa, Hivi inapotokea mtumishi wa serikali hususani mwalimu kuhamishwa, je gharama za kumlipa zikoje ?
  8. RUSOWEA

    JamiiForums Tanzania Wakali wa umombo JF...

    Nyani ngabu yuko vizuri
  9. RUSOWEA

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Yey yuko wap
  10. RUSOWEA

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    We ndo unataka uhame au ni jamaa yko
  11. RUSOWEA

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kayanga ni town kabisa nyumba zpo coz hata Halmshaur ya karagwe ndo ipo kayanga
  12. RUSOWEA

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kwan wew uko wap kiongoz
  13. RUSOWEA

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Wilaya iko poa tu kwa Huduma zote za kijamii karbia zpo
  14. RUSOWEA

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Shule inaitwa Ruicho secondary , sio mbali sana kutoka town
  15. RUSOWEA

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Ya ipo Kagera ndugu
Back
Top Bottom