We jamaa unachuki na Uislamu,, kama ni rahisi kuhifadhi, wewe umehifadhi juzuu ngapi??,, hizo propaganda zako unazoleta hazina mashiko,, Uislamu umekamilika na Qur'an haijaacha kuelezea kitu chochote,, we baki na chuki zako ila hivi karibuni utaujua ukweli na utakua umechelewa