Ushetani hapo ni mambo uliyoweka katika namba
14, 5, 12, 10, 15 basi, namba zilizobaki ni mtazamo wako au wa mtu binafsi.
Ushetani mbaya zaidi ambao haujaweka kwenye list yako ni
1. Kuiba mali za uma
2. Ufisadi
3. Utekaji na mateso
4. Kufira
5. Mauaji
6. Usaliti kwa nchi (Puppet)
Kuna watu najua wapo CCM wanaujua huo ukweli ila inawezekana hawajaongea huo ukweli au wameongea na hawajasikilizwa au wamepuuzwa na samia na genge lake la vilaza wakina mchengerwa
Yule mama samia kilaza hana ubavu hata kidogo wa kupambana na Roman Catholic.
Roman Catholics ni zaidi ya kanisa, vilaza wengi wa CCM hawajui hili.
Chama chao wanaona ni kikubwa kuliko kila kitu hapa Tanzania kumbe Kuna watu wanaotawala hii Dunia wanawachora tu.
Roman Catholic wamepitia mambo mengi kwa miaka zaidi ya elfu mbili waliyokuwepo hapa duniani, wanauzoefu na...
Wanajitoa ufahamu hao vilaza wa mbogamboga, wanafikiri Roman ni kama Chadema au kanisa la Gwajima.
CCM wajiandae, hao Roman ni mashetani wenye sura nyingi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.