Recent content by rungulugujo

  1. R

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji kwa kufukuta,rais atakiwa kumuondoa mgonja na kuteuwa makamishna kujaza nafa

    Kuteuliwa kwa kamishna Mkuu NDG Ulungi kulitegemewa na Wengi na watumishi wanamwamini na wanampongeza rais Jk kwa uteuzi huo ulungi siyo fisadi na ni mtu wa kufuata sheria asiye na majungu.Hata hivyo IKULU baado inalaumiwa kwa chombo kikubwa kama hiki cha ulinzi na usalama kushindwa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa kutisha idara ya uhamiaji

    Ni jambo la kushangaza kuona kuwa pamoja na kelele zinazopigwa na viongozi wetu wa serikali kuhusu kuachana na matumizi mabaya ya fedha za serikali idara ya Uhamiaji imeingia kwa makusudi na kununua mtambo wa kudurufu nyaraka wenye thamani ya Tsh 1bn kutoka kampuni ya GLOBA AGENCY ya mjini DSM...
Back
Top Bottom