.
Ungeacha papara na kusoma ujumbe wangu vizuri ungenielewa. Wapi nimeonesha chuki? Vipi na wale wanaosema mashoga wauwawe, kati ya hao na mimi ninaesema waombewe nani anatangaza chuki?
.
Acha stereotyping...jifunze kujiamini mzee sio kila hoja inayotolewa ikiwa tofauti na mawazo yako basi watu...
.
Umekuja nilipokuwa napataka...mtumishi wa Mungu hawezi kwenda kinyume na maagizo ya Mungu. Kwa mantiki hii, papa sio mtumishi wa Mungu ndomana anatumika na shetani na mawakala wake kupitisha au kushawishi mambo yasiyofaa.
.
Hakuna namna ya kuwasaidia zaidi ya wao wenyewe kuamua kwa dhati ya mioyo yao kumrudia Mungu kwa kumaanisha. Kiufupi inabidi waokoke na waombewe ili hizo roho chafu zinazowatesa ziwatoke, nje ya hapo ni blaa blaa tu.
.
Wangapi wanaelimishwa madhara ya kitu fulani na wanaendelea kufanya?? Kuna...
.
Kuna mambo mengi huyafahamu kuhusu ukatoliki.
.
Hivi kweli unadhani taasisi imara kama ya upapa inaweza kutoa tamko kizembe bila kuwa imejadiliwa na kupitishwa na wenye mamlaka za juu?
.
Nawaonea huruma ndugu zangu wakatoliki ambao hawataki kuukubali huu ukweli mchungu.
.
Kumekuwa na sarakasi nyiiingi kwenye hili swala...kama kitu ni haramu kwanini papa asinyooshe tu maelezo kwamba ni marufuku??
.
Hii zunguka zunguka inaashiria watu wanaandaliwa kisaikolojia. Papa atapitisha...
.
Umejibu vizuri sana ila kuna kitu umesahau kukisema kuhusu ndoa za jinsia moja.
.
Hakuna mahali Mungu ameruhusu ndoa za jinsia moja...never ever. Biblia iko straight kwamba wafiraji wala walawiti hawataurithi ufalme wa Mungu; Rejea 1 Kor 6: 9-11.
.
Mungu anawapenda wenye dhambi lakini...
.
Sijawahi kusikia upumbavu wa kiwango hiki! Nadhani wanawake wanajisahau au hawajui nafasi zao kwenye ndoa.
.
Maana ya mke ni msaidizi; sidhani kama msaidizi ana mamlaka ya kumpangia anayemsaidia jinsi ya kuendesha mambo yake.
.
Huwezi kuajiriwa mahali kusaidia kazi fulani then utake mkubwa...
.
There is no free lunch mzee....
.
Russia ihangaike ku-develop such a high-tech fighter jet then impe Iran hiyo techology plus na ndege juu, all for nothing?! No way.
.
Unachopitia kinaitwa New Relationship Infatuation.
.
Ni kile kimuhemuhe cha penzi jipya ambacho ni cha muda tu. Trust me, ukikaa nae utamzoea na utamwona wa kawaida then utaanza kutamani wanawake wengine nje ya ndoa.
.
Nikazie kwenye rule no 2, kiustaarabu hutakiwi kuagiza dish au kinywaji expensive kuliko anayeku-treat.
.
Best way ni kusibiri yeye aagize then uagize ndani ya bajeti yake au chini.
.
Mkuu, hapo unaomba ushauri gani? Huyo ni mke wa mtu! Ushahidi uko wazi kabisa kwamba atarudiana na mume wake.
.
Ushauri: Usikilize wanawake wanachoongea, angalia wanachofanya.
.
Kwa sababu Biblia ilitafsiriwa kutoka kiebrania kuja kiingereza kwanza kabla ya lugha zingine ndio maana majina yakawa ya kizungu.
.
Kama ingetafsiriwa kutoka kiebrania kuja kinyakyusa, mwaka...... mwaka...... zingekuwa nyingi tu.
.
Kelsea Ukikutana na mwanaume ukamuelewa kweli...hata ujifiche vp, body language yako itakusaliti.
.
You can't hide everything, you will behave in a certain way unconsciously...its just that guys aren't that attentive to notice those little gestures.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.