Kawaida sana. Kuna wengi wa aina hii. Sisi wanaume tunapata shida kubwa mno.
Mwanamke mama yako anakuambia live bila chenga nataka unikung'ute mpaka nijambe.
Mara tatu hiyo imenitokea nikawatoa out, sasa hivi nawahofu wasije kunipa sumu maana ni staffmates.
Ninyi nyote mbwembwe tu. Ni mwanameke wa aina gani mnamsema Hapa?
Mwanamke wa ukweli siyo vitu hivyo, hivyo ni wajibu wa wanawake kuremba nyumba zao sasa ninyi mmegeuka warembaji??
Mwanamke akikukuta akusaidie kuhesabu Cash za biashara yako, akukute unapanga mipango ya kulima ekari 100...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.