Recent content by Ruhuta

  1. R

    PreGE2025 Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora yamkuta na hatia ya matumizi mabaya ya madaraka Paul Makonda

    Tafadhali naomba kufahamushwa hii tume ya haki za binadamu ni chombo huru kinachojitegemea?kipo chini ya wizara gani?mwenyekiti wake huteuliwa na nani? Wajumbe wake hupatikani vipi? Taarifa za utendaji wa tume huwasilishwa wapi kwa ajili ya utekelezaji wa mapendekezo ya tume? Kiongozi aitwapo...
  2. R

    Ushauri: Mwanamke amenipigania sana nilipoumwa lakini dini imekuwa kikwazo kwetu kuoana, ndugu zangu wanataka pia nimfukuze sehemu ya kazi! Nifanyeje?

    Brother hao ndugu zako we unawasingizia tu,sema unatafuta ushauri ili uhalalishe uharamia unaotaka kumfanyia huyo manzi
  3. R

    Meneja Mawasiliano MWAUWASA katoa taarifa ya uongo kuhusu kutokuwepo tatizo la maji jijini Mwanza

    Wananchi wa mkoa wa Mwanza hususani wilaya ya Ilemela na Nyamagana tunapitia katika kipindi kigumu cha upatikanaji wa huduma ya maji licha ya mradi mkubwa wa uzalishaji maji kata ya Butimba kukamilika na kuanza kutoa huduma. Baada ya malalamiko kua makubwa amejitokeza meneja wa mawasiliano wa...
Back
Top Bottom