Should you be reminded the definition of atheism ? Our stand points are NOT fairy tales, we dont try to convert anyone to be an atheist everyone is born a non-beliver after all. Think.
I call upon all you people out there, critics of religion, people who prefer reason to bullshit, let's come together and discuss and analyze and share our thoughts on religion and faith related practices in our own space.
Thank You..
Keep Reasoning.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Mimi naona ni wakati wa mungu yeye mwenyewe kujithibitisha kama yupo na siyo wafuasi wa imani walioletewa dini na wakoloni kwa maslahi ya mataifa ya kibepari na utumwa, mungu hayupo acheni imani zakipumbavu dini zenyewe mmerithi tu pasipo kuuliza na kutafiti ipi imani ya ukweli. Ni kawaida tu ya...
Nasikitika kuona watu mnajadili udini, haifai hata kidogo. Mimi sidhani kama Tanzania na wananchi wake wamefikia mahali pakuweza kugawa ajira na nyadhifa katika mashirika ya umma kwa misingi ya dini.
Dini si kigezo na hata mkisema pasu kwa pasu bado si sahihi dini isiamue iwapo mtu ananafasi au...
Kuhusu uwepo wa aliens hilo hatuna ushahidi wakutosha kuhitimisha iwapo viumbe hao wapo, tunapokuja kwenye simulizi za ziara za viumbe hawa kuja duniani hizi hazina ukweli wowote ni "conspiracies" tu. Vyombo visivyotambulika vipaavyo angani ni kweli vinaonekana mara kwa mara duniani kote lakini...
Nilikuwa sijawahi kukutana na atheists wakitanzania wazuri katika mada kiasi nilichokiona humu, mimi siamini katika uwepo wa mungu naaiamini saaana sayansi kwani imenifungua akili kuujua ulimwengu.Big up sana fellow atheists of Tanzania.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Hahahahahah unaushahidi wa unachokisema, hii si dunia ya uongo uongo na mazingaombwe, eleza ni vipi mauti inaweza kuwa gereza siyo kutumia lugha zakupumbaza ambazo moja kwa moja zinakuzuia kuuliza maswali.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Look around you and observe the life forms, evolution is all over the place. So far I can say the best evidence for evolution is genetic evidence for both higher and lower life forms but also fossil evidence is among what shows evolution in action for higher life forms.
Sent from my BlackBerry...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.