Recent content by Rugema Livingstone

  1. R

    Kati ya Magamba na M4C nani zaidi Jangwani

    Wewe hapa sio janwani coz jangwani jana tulikaa kwenye viti na hapa hii picha wamekaa chini.:madgrin:
  2. R

    Jimbo la Segerea: Liwike lisiwike kutakucha tu!!

    Pamoja na yote hukumu hajajulikana itasomwa ukumbi gani hivyo wadau wetu mnatakiwa kuwahi kabla 10.00 asubuhi pale mahakama kuu ili kujua kama tutakuwa pa au kule Mahakama ya Biashara ukumbi uleule tuliotumia wakati wa kesi.:bange::bange::bange:
  3. R

    Judge Warioba ateuliwa kuwa Mwenyekiti Tume ya Katiba

    Na wasiwasi na hii tume kwanini Shivji hajawa mwenyikiti au Rais anaogopa msimamo wake kuwa atampunguzia madaraka.
  4. R

    Lema: Ikulu imenivua ubunge ; Ikulu yamjibu vikali

    Ikulu isikatae kuhusika ila ituambie ilikuwaje hukumu kujulikana cku 3 kablaya kutolewa.
  5. R

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    Mbona mleta habari analeta habari nusunusu wengine hatuko Arusha Tupeni habari nzima
Back
Top Bottom