Habari wana jf. Kiukweli matumizi yangu ya jina halisi humu linaninyima haki na uhuru wa kutoa maoni yangu ktk kila thread kwakuwa kama ilivyo kuna thread nyngine inakuwa na hisia kali hivyo naomba nijuzwe namna ya kuweka jina la ajabu ajabu, mf kama kuku mtata, jogoo la shamba, mpumuaji n.k...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.