Hawa watu ushabiki unaweza kuwa umewatia ujinga, kumiliki hiyo ndo kushinda vita? Hadi muda huu kinachotafutwa ni uhalali wa kuipiga Yemen. Hizo bandari za misaada huko gaza , wajinga hawajui ajenda yzke.
Kati ya wewe na wapalestina nani anajua umuhimu wa msada wa wamarekani na jamii nyingine zisizo waislamu?
Hiyo bandari ni msaada mkubwa kwa watu wanaoteseka kutokana na ujinga wa watu aina yako.
Akili za wapi hizi hata watoto wa madrasa wanajua israel ipo kabla Yesu hajazaliwa na mji mkuu ni Jelusalem. Yesu alizaliwa Bethelehem ya Uyahudi. Hiyo miaka sabini , hujui israel walikuwa wapi, na kwa nini walikuwa huko . Uliza ujifunze
Ninachokiona Hamas wanategemea sana sana kelele za walimwengu anazopigiwa Israel, ila baada ya tarehe 10 tutashudia umwagaji mkubwa wa damu , na kelele nyingi za kimataif kwa Israel. Wakati mnamuona hamas shujaa kwa kukataa kusitisha vita , mtakuja hapa mnalalamika juu vifo vya wanawaweke na...
Acha waune, Palestina waliua wayahudi wakiwa kwenye tamasha ukipenda mziki, wao wamewaua wakiwa kwenye kuchukua chakula , si mnajua hao ni watu wa visasi!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.