Recent content by ruanganyi

  1. R

    JamiiForums Tanzania Risasi zarindima, Majambazi wawili Raia wa Italia watiwa Mbaroni

    Polisi mkoani Dar es Salaam jana mchana walifanikiwa kuwatia mbaroni majambazi wawili ambao inasemekana ni raia wa Italia baada ya kupora kiasi cha dola elfu kumi kwa mwananchi ndipo polisi walipoanza mapambano nao na hadi kuwatia nguvuni baada ya kuwadhibiti na risasi. Sehemu ya kiti...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Diamond platinumz atupiwa jini, lampata mama'ke!

    Imevuja! Kuna madai kwamba staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz' ametupiwa jini lakini likamkosa na kumpata mama yake mzazi, Sanura Kassim ‘Sandra' kisha kumsababishia ‘gonjwa' la ajabu, Ijumaa Wikienda linakupa mchapo kamili. TUJIUNGE NA CHANZO Kwa mujibu wa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Zari akihakikisha mali yake ipo salama

    Mjini Msingi kiuno , Kauli inayodhihirishwa na Zari hapa kwenye hizi picha , Zari amenaswa na mpiga picha wa Diamond akikagua mali zake kama zipo salama
  4. R

    JamiiForums Tanzania Diamond atoa sababu za kushindwa kuhudhuria msiba wa baba yake Dully Sykes

    Diamond Platnumz ni miongoni mwa marafiki wa karibu wa msanii Dully Sykes ambaye weekend iliyopita alimpoteza baba yake mzazi Ebby Sykes, lakini hakuweza kuhudhuria msiba huo kutokana na sababu ambazo amezitoa leo. Diamond ambaye wakati msiba huo unatokea alikuwa Zanzibar na mpenzi wake Zari...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Ommy Dimpoz afunguka kuhusu kukataliwa kuingia Marekani

    Miongoni mwa stori zilizochukua headline kwenye radio mbalimbali, hata kwenye magazeti ni kuhusiana na msanii wa Ommy Dimpoz kuzuiliwa kuingia Marekani na kurudishwa Tanzania bila kufanya show zake. Sasa basi Kupitia Amplifaya ya Clouds FM Ommy Dimpoz ame amplify na kusema;"…Mimi hata...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ommy Dimpoz azuiliwa kuingia Marekani!

    Safari ya Ommy Dimpoz kuelekea Vegas, Marekani kwa ajili ya kupiga show imeishia airport ya Marekani, baada ya kuzuiliwa kuingia Marekani na kurudishwa na ndege inayofata. Habari zilizotufikia ni kuwa Dimpoz amerudishwa na kukataliwa kuingia ndani ya Marekani kwa kushindwa kufata masharti ya...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Matokeo Kidato cha Nne 2014 yametoka: Sekondari ya Kaizirege yaongoza

    MATOKEO KIDATO CHA NNE 2014 BOFYA HAPA MATOKEO QT 2014 BOFYA HAPA
  8. R

    JamiiForums Tanzania Diamond: Ningekuwa na sauti kama ya Ally Kiba, ningefanya makubwa zaidi

    Diamond Vs Ali Kiba ni ushindani usio rasmi unaochochewa zaidi na mashabiki wa muziki Tanzania kwa kuwa wawili hao licha ya kuwa wote ni wasanii wenye uwezo mkubwa sana kwenye uimbaji wanatajwa kuwa na tofauti au vita baridi. Wapo wengi ambao wanauzungumzia hata kama sio kwenye vyombo vya...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Stara Thomas afumaniwa LIVE!

    Staa wa Bongo Fleva, Stara Thomas akiwa na mumewe Stori: Deogratius Mongela na Chande HAYA ni madai mazito! Kwamba, staa wa Bongo Fleva ambaye juzi kati alinusa kwenye gospo ‘ikamshinda', Stara Thomas anadaiwa kufumaniwa na mumewe, Raumu Ally mpaka kufikishana polisi, Risasi Jumamosi...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Picha matukio ambayo ya kustajabisha sana

    Limb-ering up … woman in chair 2. Lumpy carpet Where did he go? … doggy deception 3. Don’t worry, it’s just his thumb Teenage kicks … kids pose for snap 4. Getting a bum deal Smooth as a baby’s bottom … confusing picr PICHA ZAIDI
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kutana na mwanamuziki mzuri wa kiafrika ambaye awali alikuwa mwanaume

    Mwanamke huyu kwa jina akijulikana kama Titica, amekuwa ni gumzo kubwa nchini Angola. Siku chache zilizopita UNAIDS ilimpa heshima mwanamke huyu aliyejibadili jinsia kuwa Balozi wake. Alizaliwa Luanda kama Teca Miguel Garcia, akiwa muimbaji na mchezaji, Titica alibadili maumbile yake miaka...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Askari polisi auawa kwa kucharangwa mapanga mwili mzima huko dodoma akimuokoa mtoto..!! Tunaomba rad

    Mwili wa askari huyo ukiwa eneo la tukio Polisi mkoani Dodoma wanamsaka mkazi wa Chang’ombe Juu, Tisi Malya kwa kumuua askari polisi kwa kumcharanga mapanga wakati akijaribu kumuokoa mtoto wa miezi minane aliyekuwa anataka kuuawa na mtu huyo. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma, David Misime...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu ni nani mpaka kuwa na ushawishi namna hii?

    Kwa mara ya kwanza kwama najitokeza kuuliza swali ambalo nahisi majibu ninaweza kuwanayo ila labda sijajua kuwa haya nilionayo ndio majibu sahihi. Siunakumbuka enzi za soma hadithi hii kisha jimu maswali hapo chini leo hii nataka kukuja hivi huyu Wema Sepetu ni nani? kwamaana kuwa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya: Tevez adaiwa kukatwakatwa uume wake South Africa

    Tukiwaga tunapinga madawa ya kulevya muwe mnasikia na kuelewa madhara yake. .sasa ona mwisho wa siku mnadhalilishwa vibaya. Tukisema wauza unga wenyewe kwa wenyewe hawaaminiani ukigeukwa hakuna cha mmesota wote wala nini unaumizwa, hamuelewi! Haya sasa ndugu yetu amewadhurumu wenzake mzigo...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya: Tevez adaiwa kukatwakatwa uume wake South Africa

    Tukiwaga tunapinga madawa ya kulevya muwe mnasikia na kuelewa madhara yake. .sasa ona mwisho wa siku mnadhalilishwa vibaya. Tukisema wauza unga wenyewe kwa wenyewe hawaaminiani ukigeukwa hakuna cha mmesota wote wala nini unaumizwa, hamuelewi! Haya sasa ndugu yetu amewadhurumu wenzake mzigo...
Back
Top Bottom