Recent content by rtibendrana

  1. rtibendrana

    Gawio la hisa za CRDB

    Financial statement kwenye masuala ya HISA inasaidia kupata Nini Tunaomba kidogo apa
  2. rtibendrana

    Mimi ni mwanahisa wa CRDB, sijapata gawio hadi leo

    Okay Shukrani Sana Kiongozi [emoji120][emoji120] kwa kunijuza
  3. rtibendrana

    Mimi ni mwanahisa wa CRDB, sijapata gawio hadi leo

    Kwa hiyo apa Kiongozi kwa hesabu izi kwa Mwanahisa atakae wekeza let's say milioni Kumi (10M) bank ya crdb atapa Gawio la sh. 930,000/= ?? Na Kama akiwekeza milioni Mia (100M) atapata Gawio la sh.9,300,000/= si ndio ivyo au ??
  4. rtibendrana

    Mimi ni mwanahisa wa CRDB, sijapata gawio hadi leo

    Upo vizuri kweli Mc Ras Paroko nilikuwa natafuta mda mrefu jinsi ya kupiga hesabu za kutafuta Gawio kutokana na thaman ya Hisa ulizonazo
Back
Top Bottom