Nimeipenda hii.
Hii ni hatari kwa maendeleo ya taifa na watoto wetu kwani tunawahukumu kwa makosa ya wengine.
binafsi nampongeza Mh. Mbatia kwa hili alilolifanya na iwe fundisho kwa wengine kwamba kama tuna mapenzi na nchi yetu tunaweza kuamua kufuatilia jambo/sector moja na kufanya uchunguzi wa...
Kama kuna Tanzania Bara basi na upande wa pili uwe Tanzania Visiwani na kama kuna Zanzibar basi upande wa pili ni lazima uwe Tanganyika.
Tanzania Bara + Tanzania Visiwani ≈ Tanzania(kwa majina yaliyorahisishwa yasiyo ya asili)
Tanganyika + Zanzibar = Tanzania(kwa majina ya asili)
Tanzania...
kumbe amesema mwenyewe(mwenyekiti JK). Muwe mnajadiliana nini cha kuongea kwenye vikao vyenu kabla ya kuongea na sio kuja kupingana kwenye vyombo vya habari. Mkuu wa kaya kashalimwaga Nape angalia kauli zako kwa bosi wako.
Umekaribia ili hujafika. Ukweli upo hivi "Tofauti kati ya uislam na ukristo ni kwamba uislamu ni dini ya mungu na ukristo ni dini ya Mungu" ndiyo maana Mungu(wa wakristo) haitaji kupiganiwa bali anajipigania mwenyewe na kama huyo mtu amefanya kweli hicho kitendo, utaipata tu taarifa yake ya kuwa...
ni kweli kabisa kwani kauli hiyo inaonyesha wote ni majoka wenye ulimi mmoja ila limeonekana lenye ndimi mbili na linaogopwa hadi na bosi wake.
Kama mwenyekiti nilitarajia atoe taarifa ya nini amefanya kulishughulikia hilo joka, lakini badala yake anaishia kulalamika ili asaidiwe, halafu...
Hilo lipo wazi kabisa kwani kwa mujibu wa dereva wake si alisema alishuka kutoka kwenye gari lake na akaenda kwenye gari lingine na baada ya hapo hakuonekana tena. Ni wajinga tu ndio wanaoweza kudanganyika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.