Salaam, haya wale mlio kula samaki za Magufuli mjitaarishe kuwatapika ama pesa mkononi.wachina wameshafanya yao sasa MCHEZO UMEJEUKA KINYUMENYUME!!!
Swali,
Nani hawajibishwe na deni, je ni Watanzania au Mheshimiwa?
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeamuru Serikali ya Tanzania kulipa meli ya...
Kwa wote Wazalendo wenzangu.Mungu Ibariki Tanzania mungu Ibariki Africa.
Nimekuwa nikifuatilia sakata la uhuzaji wa wanyama pori wetu kutoka Tanzania kwenda nchi za nje na madhara yake kwa ujumla kwenye soko letu la Tourism.
Quoted" wildlife resources in Tanzania provide an annual income of...
Salaam wana Jamii,
Nawasalimu wote wazalendo,nimeshangazwa sana na hii habari ya kwamba Agness Masogange amekuwa raia wa South Africa.nimecheka sana sana na kushindwa kumezea hili jambo.kwa ufupi simfahamu sana huyu Agness bali nimewahi kupata uchafu wake kwenye internet hapo nyuma.
Napenda kua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.