Recent content by royal2000

  1. royal2000

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi ya afisa ustawi wa jamii katika kituo Cha kulelea watoto yatima au taasisi yoyote inayoendana na hiyo

    kama wanalipa vizuri kianzio walau iwe sh 300000
  2. royal2000

    JamiiForums Tanzania Msaada wa nafasi ya kazi au mafunzo kazini (internship)

    Kazi ya ulinzi unaweza
  3. royal2000

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi ya afisa ustawi wa jamii katika kituo Cha kulelea watoto yatima au taasisi yoyote inayoendana na hiyo

    Tunaweza kuelewana ndugu yangu,hakuna linaloshindikana
  4. royal2000

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi ya afisa ustawi wa jamii katika kituo Cha kulelea watoto yatima au taasisi yoyote inayoendana na hiyo

    Mimi Alex aidani mwenye umri wa miaka 29 naomba kazi ya afisa ustawi wa jamii katika kituo Cha kulelea watoto yatima au taasisi yoyote inayoendana na taaluma hiyo. Nina elimu ya dimploma ya ustawi wa jamii, hivyo ninauzoefu wa miaka miwili na nusu katika kusimamia vituo vya watoto yatima...
Back
Top Bottom