Recent content by rosway

  1. rosway

    Aina kuu 8 za vitambi, je wewe unacho kipi?

    Sio vitambi vyote vinasababishwa na ulaji mwingi! Ila vingine ni matokeo ya kuridhika na hali ulionayo hata kama huli sana.
  2. rosway

    CHADEMA jibuni hizi shutuma tuwaelewe kama wanamabadiliko wa kweli

    Ww kweli kiraza. Unarudi ccm kutoka wapi? Au ndo unataka kutuaminisha kuwa ilikuwa UKAWA
  3. rosway

    Ugomvi wa Lowassa na Kikwete wawapumbaza Watanzania

    Mmmmh kweli aiseeee
  4. rosway

    CCM: Magufuli yupo tayari kwa Midahalo; tuna kila dalili ya Ushindi

    Kweli mfa maji haachi kutapatapa. Yaan ccm wamefilisika mawazo kiasi hicho?
  5. rosway

    Lowassa azomewa na wanachama wa CHADEMA

    Wewe chadema uliingia lini hadi Leo unasema hutaki chama kipotee? Acha ushabiki wa uwongo. Ww ni ccm tu. Kama vip toroka uje ndo uongee
  6. rosway

    Ingalikuwa zamani: Chagua CCM, Chagua Magufuli, ila sasa: Chagua Magufuli!

    Anasema chagua magufuli coz ccm ni ileile
  7. rosway

    Selfie ya Dr Slaa na first lady aliyekuwa akitarajiwa

    Mmmmh hata hana mvuto wa kuwa first lady
  8. rosway

    Polisi na NEC Mliangalie kwa Ukaribu hili suala

    R.I.P. but nae kifo kilikuwa kinamwandama. Coz why achane bango ambalo hajaliweka yy na pia halijabandikwa kwake?
  9. rosway

    Wasanii Aunti Ezekiel na Vincent Kigosi kutoka UKAWA wajiunga na kampeni za CCM

    Kwan nn mnapoteza mda mwingi kumjadili Ray na Ant kwan wao ni nani na wana impact gani katika UKAWA? Wajinga tu hao
  10. rosway

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Vurugu wanazitengeneza wao then wanajidai ni UKAWA
  11. rosway

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Ccm wanahaha tu, mfamaji haachi kutapatapa
  12. rosway

    CCM Kuchana Mabango Ya Wagombea Wa Upinzani Ni Ishara Mbaya Ya Kushindwa!

    Hiyo ni dalili za kushindwa, waswahili wanasema"mfa maji haachi kutapatapa "
  13. rosway

    Hotuba ya Magufuli na Sekta ya Elimu

    Hivi wanasiasa wanatuchukuliaje ss walimu! Au wanatuona ss tuna ubongo wa kuku? (Yaan wasahaulifu), maana nashangaa tangia miaka ya 1995 campeni za vyama vingi ilipoanza , ccm walikuwa wanabeba hiyo ajenda ya walimu hadi Leo na hawajafanikiwa, je hawaoni kama wanatudhalilisha ss walimu huko...
Back
Top Bottom