Recent content by Rossoneri

  1. Rossoneri

    Unawekeza Tsh 30m unapata kodi 300k kwa mwezi. Mwenzio kawekeza Tsh 2m anapata hiyo hiyo

    Nadhani kwenye uwekezaji wa nyumba ni unatakiwa uchukulie kwamba hela iliyotumiwa kujengea ni kama umeiweka(fixed account) na kuiweka huko inakuingizia kipata kutokana na kodi. Pia kadiri muda unavyoenda thamani yake inapanda hivyo kama ukitaka kuiuza hautauza kwa thamani ileile uliyotumia kujengea.
  2. Rossoneri

    TAZAMA, Umepata Tafsiri gani?

    Alfu lela ulela
  3. Rossoneri

    Waziri wa Miundombinu unapigwa hela barabara Mwenge - Tegeta inayofanyiwa marekebisho Lugalo

    Kwani Magufuli alikua na fani hiyo?,Magufuli mwalimu wa kemia sasa Mwalimu wa kemia na uhandisi wapi na wapi? Mara nyingi kwenye wizara,watendaji kama makatibu wa wizara ndio hua wenye fani kulingana na wizara husika.
  4. Rossoneri

    Huyu ndiye Rais aliyepaswa kuongezewa muda

    Ukilinganisha dhaifu wawili,yule mwenye udhaifu kidogo zaidi ya mwenzie haimaanishi kua ni bora.
  5. Rossoneri

    Waziri Mkuu aongoza msafara wa kupokea mwili wa Balozi Kijazi

    Huenda kuna kundi la viongozi wa serikali walishajipatia chanjo, sasa wanatuzuga ili tuamini wanachosema wanakiqmini na kukisimamia.
  6. Rossoneri

    Changamoto za Ajira Portal

    Spam napo hamna,imebidi nijisajili kwa email nyingine na nimeactivate.
  7. Rossoneri

    Changamoto za Ajira Portal

    Nimejisajili tena kwa emil nyingine na nimeactivate.
  8. Rossoneri

    Changamoto za Ajira Portal

    Labda kama kuna kipengele nilichokosea, maana kwa email niliyotumia ni uhakika sijakosea maana ndio ninayoitumia kila sehemu na hata nikijaribu kufungua account nyingine kutumia email hiyohiyo inasema inaexist means ndio hiyohiyo ninayoiandika. Labda nifungue email nyingine,then nisajili...
  9. Rossoneri

    Changamoto za Ajira Portal

    Pia nawatumia feedback ili wanitumie hiyo email ya kuactivate,still hamna kitu
  10. Rossoneri

    Changamoto za Ajira Portal

    Hiyo email ndio sijaipata hadi leo, kila siku nachek emails
  11. Rossoneri

    Changamoto za Ajira Portal

    Habari comrades? Nimejisajili ajira portal wiki ya tatu sasa ila kila ninapo log in,inanilete account is inactive. Msaada jinsi ya kuiactivate, sijatumiwa email ya kuactivate.
  12. Rossoneri

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Poa jamaa,atakayepata tujuzane
  13. Rossoneri

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Kwa dar kuna maeneo ya mnazi mmoja wanauza mabelo ila sijafahamu bei zake na nguo za aina hiyo upatikanaji wake.
  14. Rossoneri

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Habari madam Pole kua disappointed,nitashukuru ukinifahamisha mabelo ya shuka grade 1 yanapopatikana na bei zake.
Back
Top Bottom