Ehe Mungu wangu namfahamu huyu Eng alikuwa mpole, ana weledi kwenye kazi na mtu wa watu jumla nimemfahamu wakati niko EU. Nimeshituka sana Mungu aisimamie familia kwenye wakati huu mgumu pamoja na PSU. RIP Engineer gone too young.
makonda hakutaja mtu hapa ni wenye matatizo ndio wameyaanika kwa waandishi wa habari. Na wengine wametajwa hawajalalamika kama kuna hoja tatua kwa kuonana na jopo la wataalamu aliowaweka mawakili, sector za DNA na wengine sio kulaumu
watu lazima washituke hawa ni wanafunzi angeazia wapi kuumueleza mwenye jengo angetimuliwa kwa kuvujisha siri.... jamani maisha ya shule ni kijeshijeshi aliona bora arushe sote tujue. Hata Rais wetu atakuwa ameshitushwa kwani hapendi ujinga kwenye hawamu yake kwani hawakupima udongo eti...
ni kweli abaki mke wa Lissu tu kwani madaktar wapo. Watu wote wa nini huko hawanakazi za kufanya... ni aibu huyo Mbowe anahitaji msaada kutoka USA na EU wao ni wazungu hawa entertain extended family... watoke
Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.