Recent content by Rosemary Stephen

  1. R

    Wazazi msiwalazimishe Watoto kusoma vitu wasivyovipenda

    Wazazi wengi mmekuwa kikwazo cha watoto wenu katika kufikia ndoto zao na malengo yao. wazazi wengi mnawalazimisha watoto wenu kufanya vitu mnavyovitaka nyie na sio wanavyovipenda wao . Mnawanyanyasa watoto na kuwafanya waishi maisha ya kulazimisha sana katika jamii zao. Unakuta mzazi...
  2. R

    Kidato cha sita msichague kozi kwa mkumbo

    Moja ya jambo ambalo vijana wengi wanafanya wakiwa katika kuchagua course za kusomea chuoni ni kufata mkumbo na kuiga kile ambacho wenzao wamechagua. Wito wangu kwa form six wote waliomaliza sasa hivi, ni kuangalia kwa upana zaidi nini unataka katika maisha yako, usiende kusomea course ambayo...
  3. R

    Mfumo wa elimu ubadilishwe

    Moja ya jambo ambalo linatakiwa kutiliwa mkazo kwa sasa ni namma ambavyo mfumo wetu wa utoaji elimu unavyoathiri vizazi vyetu hasa vijana. Ni mfumo ambao unalenga sana kuwaandaa wanafunzi kuwa tegemezi na kuwa wavivu wa kujituma na kupambania ndoto zao. Wanafunzi wanafundishwa tu wakazane na...
  4. R

    SoC01 Mfumo wa Utoaji Elimu Ubadilishwe

    Moja ya jambo linaloongeza ukosefu wa ajira nchini mwetu ni mfumo mbaya wa utoaji elimu ,ambao unalenga zaidi kuwaandaa wanafunzi kuwa tegemezi kwa serikali na jamii kiujumla. Kijana anakaa darasani kufundishwa na kupandikiziwa mbegu kuwa ni lazima asome kwa bidii ili aajiriwe awe na pesa...
Back
Top Bottom