Recent content by RORO02

  1. R

    SoC02 Matokeo Makubwa Sasa yanavyoliumiza Taifa

    MATOKEO MAKUBWA SASA YANAVYOLIUMIZA TAIFA Siku za hivi karibuni tumekuwa na msamiati unaitwa “Matokeo makubwa sasa” Pamekuwapo na juhudi za makusudi kuhakikisha kwamba kila jambo linapata matokeo makubwa. Jambo hili likanikumbusha wakati fulani nilipokuwa shule ya bweni pale Ifunda, siku za...
  2. R

    SoC01 Maendeleo bila Umoja ni Umaskini

    MAENDELEO BILA UMOJA NI UMASKINI Tanzania kama taifa tuliongoza harakati nyingi sana za kiukombozi hasa katika nchi nyingi zilizoko kusini mwa frika. Umaarufu wetu ulitokana na umoja wetu katika kuhakikisha kwamba, wale wote tuliowatangulia kupata uhuru nao wanakuwa huru angarau hata kwa uhuru...
  3. R

    SoC01 Demokrasia kama Msingi wa Maendeleo

    DEMOKRASIA KAMA MSINGI WA MAENDELEO Tanzania ni nchi ya kidemokrasia kwa mujibu wa Katiba ambayo viongozi wetu huitumia kuapa wanapoingia madarakani. Ibara 8(1) ya Katiba yetu inasema “Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayofuata misingi ya kidemokrasia na haki ya kijamii na kwahiyo;(a)...
  4. R

    SoC01 Tatizo si Mfumo wa Elimu bali ufinyu wa fursa za ajira

    TATIZO SI MFUMO WA ELIMU Kumekuwapo na mjadala kuhusu mfumo wetu wa elimu.Tuliowengi tunasema mfumo wetu wa elimu ni mbovu na kwamba ndiyo maana vijana wengi wanamaliza vyuo vikuu lakini hawawezi kujiajiri. Kelele ziko kila kona ya nchi. Malalamishi haya hayatoki kwa wananchi wa kawaida tu...
  5. R

    SoC01 NHIF ibadili Sheria juu ya Wategemezi

    Waruhusu tu uweke hao wengine niliowataja yaani Sheria isitaje nani na nani
  6. R

    SoC01 NHIF ibadili Sheria juu ya Wategemezi

    Hapo napo kuna changamoto sana mimi nimeshindwa kumuunga mama yangu kwasababu ya hizo tofauti ya majina kama unavyojua mama kijijin NIDA kajisajili kwa majina ya nyumbani kwenye cheti changu jina la ubatizo yaani imekuwa tatizo, sjui njia rahisi ni ipi yeye kujisajili NIDA upya au mimi kubadili...
  7. R

    SoC01 NHIF ibadili Sheria juu ya Wategemezi

    Nimekupata kiongozi
  8. R

    SoC01 NHIF ibadili Sheria juu ya Wategemezi

    Ndo maana nimesema kwamba huyu ambaye hana watoto anao watoto wa ndugu ambao wengine wazazi wao wameshafariki kwahiyo anapokuwa akichangia halafu hao walioko karibu Sheria haiwatambui ni kumtwisha mzigo mkubwa kwasababu inabidi tena atoe fedha mfukoni kuwahudumia wakati ni mchangiaji mzuri...
  9. R

    Mishahara ya viongozi wa Tanzania

    Muwe mnaweka fedha za kitanzania wazee mambo ya dola tunachanganyana
  10. R

    SoC01 NHIF ibadili Sheria juu ya Wategemezi

    NHIF IBADILI SHERIA JUU YA WATEGEMEZI Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ni mpango wa Bima ya afya wa kisheria ulioanzishwa kwa Sheria ya Bunge Na.8 ya mwaka 1999 ili kuwezesha upataji wa huduma za afya kwa wanachama wakuu na wategemezi wao. Uanachama huo ni kwa mujibu wa Sheria ya Mfuko wa Bima...
Back
Top Bottom