Ni kweli! Taarifa za kweli ni kwamba mbunge wa Simanjiro amewapigia simu madiwani kadhaa ili kuwashawishi waondoe ng'ombe kwani mfalme karibu atakuja kuwinda. Sio tu kwamba Sendeka anafanya hili kwa niaba ya mwarabu lakini pia inadhihirisha kuwa mwaraba haondoki TZ! Je, madiwani watathubutu...
Ni kweli! Taarifa za kweli ni kwamba mbunge wa Simanjiro amewapigia simu madiwani kadhaa ili kuwashawishi waondoe ng'ombe kwani mfalme karibu atakuja kuwinda. Sio tu kwamba Sendeka anafanya hili kwa niaba ya mwarabu lakini pia inadhihirisha kuwa mwaraba haondoki TZ! Je, madiwani watathubutu...
The Maasai further seek President Obama's intervention in Loliondo land dispute. The longstanding conflict over grazing land in the Loliondo area has taken a new twist, as Maasai elders are now seeking the intervention of United States President Barack Obama. (Source: ThisDay July 8-14th, 2013)...
Sasa kwani waliwasilisha bungeni wasiwsilishe katika ofisi zao DSMS? Hiyo sio bajeti yetu watanzania? Sifahamu kanuni za bunge lakni common sense yangu inasema ni lazima wawepo bungeni wakati wote na hasa hoja zao zinapojadiliwa
Kwanza, serikali ikiri kuwa ardhi ni za vijiji. Pili itoe kibali cha uwindaji kwa mwarabu na kampuni yake na tatu aingie mkataba na vijiji kwa ajili ya kutumia ardhi yao kuwindia. Matokeo yake ni kwamba vijiji vitapata mapato na malisho, serikali itapata mapto yake na uihfadhi utafanyika...
Wadau Salaam!
Ninataka kuanzisha biashara ya ksuindika na kuuza maziwa na hivyo ninataka business plan. Nani anaweza kuandika plan ambayo inaweza kushinda mkopo wa benki?
.......amani ya Loliondo ni muhimu sana kwangu, hasa ukizingatia kuwa tuna uhusiano wa kinasaba na ndugu zetu wa Loliondo. Mbona kila siku unawaita Wakenya? Wamekuwaje ndugu zako tena? Liars should have good memories!!
Habari za kuaminika ni kuwa madiwani wa Tarafa za Loliondo na Sale na baadhi ya Tarafa ya Ngorongoro watajiuzullu. Mbunge hatajiuzulu kwa kile kinachosemekana kuwa anakubaliana na mpango wa Serikali ya kunyanganya watu wake ardhi na pia anabembeleza apewe nafasi ya kuwa mjumbe wa bodi ya...
Wewe Jackton huna habari yeyote sahihi. Unatumika tu na OBC, na tunakufahamu zaidi unavyofikiri. Toa ushahidi wa hoja zako. Nani ni Mkenya, NGO gani ya Kenya? Kwa nini usiandike ili uhifadhi uanzishwe nchi nzima, hata huko unakoishi wewe, hama pisha hifadhi kuna tatizo gani usihame?
Kweli kabisa: Labda tumsaidie JK kwa njia hii. Aeleze mazuri anayoyafanya kwa Watanzania! Hapo atapata jibu la kwa nini vijana tunashindwa kuwa wazalendo. Wa vijijini wenyewe wanateseka sembuse sie wa mjini
Kagasheki anahimiza kuwa ni lazima kila mtu aishemu sheria. Wa kwanza anatakiwa kuwa yeye kama kiongozi wa nagz ya juu wa Serikali. Aelewe pia kuwa Serikali ni watu na sio viongozi. Kama ardhi ya Loliondo inatengwa bila kujali maslahi ya watu wa Loliondo, itakuwaje na maslahi na Taifa zima...
Kikao cha Wziri na viongozi wa Loliondo hakikufanyika kwa sababu viongozi wa mila walitaka kupata fursa ya kuzungmza kwa upana. Walimwomba waziri wafanye kikao cha nje, hakutokea badala yake aliondoka kwa hasira. Naomba ukweli usioptoshwa, tuna shauku ya kupata ukweli huu.
Sheria ya Wanyapaori ya 2009, inamtaka waziri kutathmini Mapori Tengefu nchi nzima na kuona ulazima wa kuendelea au kufuta. Katika kifungu cha 16 cha sheri hii ya Wanyapori pia inamwelekeza Waziri kuwa kama kuna ulazima wa kuendelea na Pori tengeu, atahakikisha kuwa haitawekwa katika za vijiji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.