Recent content by roncher

  1. R

    JamiiForums Tanzania Huyu Israel Mwenda amshindia nini Kibabage? Mi Yanga sasa yanchanganya

    Hakuna mchezaji wa Simba anayeweza kupata nafasi ya kuanza ndani ya kikosi cha Yanga mpaka sasa. Ata ao waliosajiliwa Yanga wakitokea Simba bado hakuna aliyefanikiwa kuanza kikosi cha kwanza cha Yanga.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Yanga lawama wekeni hapa chini suggestions za usajili zimfikie injia... Maana kila mtu hamumtaki

    Kama Engineer anapitia uku jamiiforum namshauri yeye na wenzake waka mchukue Lamso wa KMC yule Dogo ata kwenda kumpa changamoto ya kutosha Yao Kwasi. Dogo amekamilika anastahili kucheza timu ya Mabingwa.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Beki wa zamani wa Simba SC, Israel Mwenda atua Yanga kwa Mkopo akitokea Singida Big Stars

    Waende KMC kumchukua yule Lamso Angalau anaweza kum challenge Yao.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Huyu Israel Mwenda amshindia nini Kibabage? Mi Yanga sasa yanchanganya

    Kama ni hivyo mbona Simba kwenye usajili wa dirisha kubwa wame endelea kupuyanga? Debora aliyeonekana kama mchezaji wa maana tayari kocha amuelewi, uyo Ahua ndio kabisa mashabiki awamuelewi mmerudi kulekule kwa Kibu ndiye mnaye mtegemea atawavusha robo.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa Dr. Peter Richard Kisenge Mkurugenzi mtendaji wa taasisi ya moyo ya jakaya kikwete JKCI

    Uyu Mwanba anapiga kazi sana, kama ingekua ni kazi yake binafsi nafikiri angekua namafanikio makubwa sana. Saa kumi na nusu Alfajiri yupo pale amesha anza kuonana na wagonjwa, mida ya saa 2 au tatu usiku bado yupo pale Hospitali mi sijajua jamaa uwa analala saangapi. Sasa sijui anaishi karibu...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Yanga SC yafungiwa tena kwa kushindwa kulipa madeni ya usajili

    Mbumbumbu wasio daiwa huu ni msimu wa 4 mfululizo awana ata kikombe cha kahawa zaidi ya sera yao ya ukizidiwa uwanjani uje na mpango wa kuhamia Burundi.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Miguel Gamondi akiingia GYM kwenye viwanja vya Gymkhana akiongoza mazoezi ya Yanga SC

    Simba lazima wamuogope Gamond maana kwenye Derby huwaambia timu itafungwa kulingana na Shauku uliyonayo sasa kwanini wasigope!!
  8. R

    JamiiForums Tanzania Yanga ndio timu mbovu kuliko timu zote Tanzania kwa sasa

  9. R

    JamiiForums Tanzania Yanga ndio timu mbovu kuliko timu zote Tanzania kwa sasa

  10. R

    JamiiForums Tanzania Furaha ya Simba ni Gamondi kuondoka Yanga

    Simba lazima wa muogope Gamond maana mkwala wa Gamond kwenye Derby anasema: Mpinzani atafungwa magoli kulingana na Shauku aliyonayo. Yaani wingi wa hamu yako ndio sawa na magoli utakayo fungwa.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Siri ya Marekani kuingilia Uchaguzi mkuu wa Tanzania

    Marekani ndio baba/kitovu Cha uasi duniani Marekani haijawai kua na demokrasia na haitotokea siku Marekani iki jaribu kutekeleza demokrasia nje ya Marekani. Sera za Marekani nje ya nchi yao ni kupora na kuzulumu rasilimali za watu.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Simba Vs Ruvu Shooting: Tutegemee soka na matokeo ya aina gani?

    Leo awa wazee kwenye defence ya Simba wamekutana na namba tisa wa kuwa challenge Fulu zuru Maganga ni namba tisa mwenye mwili, nguvu na kasi wazee wanapatashida kwelikweli sijui kama mpira ukiisha watapata muda wa kwenda kuvuta kiko.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Simba Vs Ruvu Shooting: Tutegemee soka na matokeo ya aina gani?

    Niyuleyule kiboko ya simba Fulu zuru Maganga tayari kashaingia kambani dk 37, RVS 1 Simba pira Biriani 0.
  14. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hii Kweli Mashine; 96% Kampeni Hajachoka Mwili Wala Akili

    Upinzani usipo ungana kwa dhati itawachukua miaka mingi kuiondosha CCM, baada ya uchaguzi huu malalamiko ya upinzani watakua kwa NEC kwamba wameibiwa kura.
Back
Top Bottom