Recent content by ron90hamilton

  1. R

    JamiiForums Tanzania Call for interview for the position of Area Sales Manager at SBL

    ninataka kuwafahamisha kuwa wameshaanza kuita watu na mimi wameshanipigia kwa ajili ya interview so kama hujapigiwa itakua hujawa shortlisted.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Call for interview for the position of Area Sales Manager at SBL

    Jamani wandugu SBL wamesha anza kupiga simu kuhusiana na interview itakayo fanyika jumamosi saa sita mchana.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Anayejua Kuhusu CFAO motors na TBS

    Dah! Hata mimi nili apply hiyo position ya sales representative ila mpaka leo sijapata feedback.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Hii dhiki sasa imepitiliza

    Number yako watakua wameipata zoom kama ulishawahi ku apply kazi huko, Ila mimi hawakufanikiwa kunitapeli. So kuwa makina hawa matapeli ni wengi huwa wana tengeneza kazi na kuzi post online ili wawa tapeli watu wenye shida na ajira na kuna wakati huwa wanakupigia simu wanakuambia wanakuita...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Hii dhiki sasa imepitiliza

    Dah!!! hata mimi huyo mpuuzi kanitumia txt kama hiyo jana....:shocked:
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mwenye Update za Mwanza Community Bank

    jamani wale majamaa wanaojiita Quality service mbona hawapo kwenye hi list link hiyo hapo tizameni wenyewe KaziBongo - Jobs in Tanzania: MAWAKALA WA AJIRA TANZANIA - JOB RECRUITMENT AGENCIES IN TANZANIA
  7. R

    JamiiForums Tanzania Update Mwanza Community Bank

    jamani wale majamaa wanaojiita Quality service mbona hawapo kwenye hi list link hiyo hapo tizameni wenyewe KaziBongo - Jobs in Tanzania: MAWAKALA WA AJIRA TANZANIA - JOB RECRUITMENT AGENCIES IN TANZANIA
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mwenye Update za Mwanza Community Bank

    Soma Title ya topic Kwakukusaidia mimi nataka kupata update kuhusu yeyote aliyetumiwa e-mail kuhusu kuitwa kwenye kazi Mwanza Community Bank..............
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mwenye Update za Mwanza Community Bank

    Naomba atupe update kwa aliye tumiwa e-mail.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mwenye Update za Mwanza Community Bank

    Jamani kwa yeyote aliyetumiwa e-mail kuhusu kupata kazi Mwanza Community Bank naomba atujulishe tupate uhakika wamesha anza kuwatumia watu e-mail.....:shocked::shocked::shocked:
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mwanza Community Bank

    Jamani kwa yeyote aliyetumiwa e-mail kuhusu kupata kazi Mwanza Community Bank naomba atujulishe tupate uhakika wamesha anza kuwatumia watu e-mail:shocked:
Back
Top Bottom