Wanasema kaka unataka kupata local channels,unapeleka kadi ya king'amuzi cha sasa kwny shop zao ukiwa na sh 24,000. Wanakubadilishia kadi na kukuoa nyingine ambayo sasa,kama hela inakata,ndo unapata zile za bure.
Huyo anayesema utakuwa mwl,kwani unapomshauri asiache chuo,aendelee na diploma,atakuwa anafundishwa na nani? Achana na mawazo ngando na mitazamo ya watu wa vijiweni..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.