Recent content by rojonti

  1. R

    Mayai ya kisasa kwa tsh 6500 njoo nikuuzie

    Kwa mwenye uhitaji wa mayai ya kisasa bei tsh 6500 kwa sasa na bei inapungua kulingana na nyakati wasiliana kwa 0756587380
  2. R

    Njoo ujiunge na uwakala wa mobistock

    Follow this link to join my WhatsApp group: Mobistock Agents Mobistock ni huduma inayokuwezesha kufanya huduma kwa wateja kama vile Kuuza Vocha za Mitandao yote Mfano Vocha za Tigo, Vodacom, Airtel, Halotel, Smart, TTCL, Zantel Pia Vifurushi vya Tigo Dakika na Data au Internet. Huduma...
  3. R

    Mwenye laini ya tigo pesa njoo

    Uwakala
  4. R

    Nahitaji laini za wakala wa tigo pesa

    Habari za uzima, Kama unauza laini za tigo pesa basi nitafute niko DSM 0756587380
  5. R

    Mwenye laini ya tigo pesa njoo

    Nahitaji laini ya tigo pesa Habari nahitaji laini ya tigo pesa kama unayo basi tuwasiliane japo hakikisha una document zote ulizosajilia. 0756587380 Niko DSM
  6. R

    Neti za kisasa kwa bei ya 60000/ tu ni original

    Habari wadau, Unaweza ukapata neti nzuri sana kwa gharama ndogo ya elfu 60 na kulala usingizi mzuri na amani wakati wa usiku kwa gharama ndogo kama hii. Utaletewa popote Dar es salaam, na kufungiwa neti yako. Neti hizi ziko na vyuma vyake ni full package. Kwa mikoani utatumiwa kwa njia ya...
  7. R

    Karibu kwa mahitaji ya asali mbichi. Tunasafirisha mpaka nje ya Tanzania kama Kenya, Uganda n.k

    Nashukuru kwa wale wadau wanaokuja kwa email kufanya maelewano ya madumu ya asali pia ningependa kujua unahitaji asali ya nyuki wadogo ama wakubwa na kama ni ndani ya Tanzania tufahamu mkoa unaotoka ili kukupatia bei na gharama za usafiri kwasababu usafiri ndani ya dar es salamu ni tofauti na...
  8. R

    Karibu kwa mahitaji ya asali mbichi. Tunasafirisha mpaka nje ya Tanzania kama Kenya, Uganda n.k

    Nsereko hizo zilizopo kwenye katoni kuna carton kubwa na ndogo na kila katon ina chupa(plastic bottles 24) vile vile hizi zinasafirishwa ndani ya nchi sio nje ya nchi. Tumia whatsapp namba yangu hii 0756587380
  9. R

    Karibu kwa mahitaji ya asali mbichi. Tunasafirisha mpaka nje ya Tanzania kama Kenya, Uganda n.k

    Tunapatikana Dar es salam bei ni maelewano haiko fixed kwasababu itategemea na sehemu inakwenda kwa kutegemeana na usafiri ama nchi n.k
  10. R

    Karibu kwa mahitaji ya asali mbichi. Tunasafirisha mpaka nje ya Tanzania kama Kenya, Uganda n.k

    Habarini wakuu, Waridi pure & natural honey inawakaribisha wafanya biashara kutoka nchi zote za Afrika Mashariki kujipatia asali mbichi ya nyuki wadogo na nyuki wakubwa kwa bei nzuri, tunasafirisha popote. Kwa mawasiliano tutafute kwa email waridipurenaturalhoney@gmail.com
  11. R

    Natafuta msaada wa namna ya kutengeneza supaghett

    Wakuu naomba msaada wa namna ya kutengeneza supaghett, mfano unatumia unga gani, maji kiasi gani, mayai, ama vipimo nk nisaidieni tafadhali. Natanguliza shukrani kwa msaada wa aina yoyote.
  12. R

    Mayai ya kisasa 5500 kwa trei moja

    Inawezekana karibu
  13. R

    Mayai ya kisasa 5500 kwa trei moja

    Napatikana Maeneo ya mlimani city tuwasiliane ili kesho uje mpaka ofisini kwetu Kama ukitaka ukaangiwe na mayai matano ule kisha ubebe unayohitaji kuondoka nayo
Back
Top Bottom