Recent content by Rogojin The Idiot

 1. R

  Lissu: Kikwete alisaini mikataba ya Buzwagi na Nzega, anaponaje?

  Kama tusipobadilika tutaangamia. Naona tunajidanganya. Hakuna namna tutafika salama mbele ya haki kwa wizi na dhuluma ya mali za watanzania.
 2. R

  Chahali: Madini yanatoroshwa kwa kasi ya kutisha

  Toa evidence..usihalalishe wizi kwa hoja za kufikirika
 3. R

  Serikali inavuna ilichopanda: Fundi Maiko Syndrome - Goba Collapse

  Utaalamu unawekwa pembeni wakati watu wanataka kupanda chati za kisiasa
 4. R

  Dr. Nchimbi, the era of President Samia has began

  Halafu idadi yetu ni kubwa sana..sio wale wa one season
 5. R

  Dr. Nchimbi, the era of President Samia has began

  Hivi Contractor Mayanga yupo? Anajenga nini? Strigler?
 6. R

  Dr. Nchimbi, the era of President Samia has began

  Una uhakika na haya unayosema? Toka lini nguvu za binadamu kama mimi na wewe zikawa hivyo unavyosema? Tuwe na kiasi. Tunamzibia riziki huyu mzee aliyetishia kutoka ndani ya mkutano mkuu sababu mgombea wake ameachwa
 7. R

  Uvumilivu umemshinda Dkt. Hamis Kigangwala, aahidi 'Kujilipua' mazima kwa 'Maadui' zake Januari hadi Desemba 2022

  Mama ameshitukia. Ameanza kujua mbivu na mbichi. Kuna watu wanataka vyeo, just for self glory. Sio kutumikia wananchi
 8. R

  Kijana mkoani Kilimanjaro auawa kwa panga kwa madai ya kutaka kushiriki tendo la ndoa na mke wa mtu

  Hizi pombe zisizo na TBS zinavuruga vichwa kabisa...ingawa mke wa mtu ni sumu
 9. R

  Mbunge wa Geita Vijijini atunukiwa Udaktari wa heshima, sasa kuitwa Dkt. Joseph Kasheku

  Watanzania lini tumeanza kuupenda utapeli? ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 10. R

  Emmanuel Nchimbi amestaafu lini Ubalozi? Kaapishwa Prof. Adelardus Lubango Kilangi kuwa balozi Brazil

  Yupo. Balozi Steve Nyerere. Balozi wa uviko ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 11. R

  Rais Samia ashtukia upigaji Mamlaka ya Bandari Tanzania(TPA)

  Ujasiriamali kwenye ofisi za umma ni wizi. Hakuna haki wala uhalali wa udalali wa kazi za umma. Waje huku mtaani ndio waseme ni wajasiriamali
 12. R

  Ramadhan Ng'anzi mwekezaji aliyefanyiwa urasimu wa kusikitisha

  Tunajitekenya na kucheka kama kawaida
 13. R

  Ramadhan Ng'anzi mwekezaji aliyefanyiwa urasimu wa kusikitisha

  Corruption is a problem. Competent people with corrupt minds aren't helpful
Top Bottom