Recent content by ROGER1

  1. ROGER1

    JamiiForums Tanzania Fahamu mita za LUKU zinazofungwa majumbani

    Naomba kujua kwa nini hawa wa tariff 1 wananuna umeme kwa gharama kubwa ukilinganisha na hao wanaotumia umeme mwingi kama hapo chini
  2. ROGER1

    JamiiForums Tanzania Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...

    Nimecheka sana Baba anauliza km jamaa ni mwanae. Jibu la mama limeniacha na cheka aswa eti pua duuu
  3. ROGER1

    JamiiForums Tanzania Nape: CHADEMA wamepewa fedha na wazungu kuvuruga mchakato wa katiba

    Kijana kama nape anaonekana kuwa ni muelewa ila nafikili kwa nafasi aliyo pewa aitendei haki nafsi yake maana HUU NDO UJINGA MKUBWA AMEWAI KUONGEA KULIKO WOTE ALIO WAI KUONGEA, ni kutokana na maneno yake yanaweza kuleta madhara makubwa nchini sema wao wanafikilia ccm tu awawafikilii watanzania...
Back
Top Bottom