Kuna namba ambazo huwa zina scroll wakati wa kipindi. Hizo ndio namba za kuwasiliana nasi. Lakini kwa kifupi ili kushiriki inabidi timu ya watu 5 wanaohusiana kindugu wajikusanye. Ndugu wanaweza kuwa ndugu wa damu, wakambo, na mpaka wakwe (shemeji, wifi, na nk). Hakuna gharama yoyote ya...