Recent content by rodrigaz

  1. R

    Wadau sasa hapa natokaje..?

    Chagua mmoja mwambie leo tubasherekea birthday yangu na yako ili kusave hela. Hela ni ngumu sana. Mwingine mwambie tunaunganisha yako na yangu tutaifanya kesho tunasave hela.
  2. R

    Binti aliyeniacha 2020 kisa kupoteza kazi amerudi 2023. Nishaurini hapa!

    We msamehe tu na fufua penzi. Ichakaze mbususu kila ukipata nafasi na hata siku moja usiwe na malengo naye. Kazi yako ni kulipa deni, akija na pigo za hela mwambie wee ni wife material hela za nini wakati najichanga kuleta posa kwenu. Usiache kuichakaza mpaka afubae. Katu usimwache atakuacha...
  3. R

    Msaada: Jinsi ya kuvunja ndoa ya kikristo

    Wewe pekee angalau umemkumbuka mwana, tumwombee asije akajipiga kitanzi. Hii fedhea sio ya nchi hii, atakuwa anamsongo mkubwa wa mawazo. Wakae nae karibu sana
  4. R

    Naomba mtoe tip kwa wahudumu

    Mi nadhani ni asilimia 10 tu ya kile ulichotumia!! Maoni yangu lakini mnaweza kunikosoa
  5. R

    Naomba mtoe tip kwa wahudumu

    Ndo maana nimekuelekeza pm
  6. R

    Naomba mtoe tip kwa wahudumu

    Njoo pm nikusomee
  7. R

    Naomba mtoe tip kwa wahudumu

    Kuna msenge jana kanifanyia huu uhuni, nikakataa kulipa kabisa! Akaitwa baunsa, supervisor, manager, nikagoma kabisa!! Yule mshenzi ***** sana
  8. R

    Naomba mtoe tip kwa wahudumu

    Kweli kabisa! Ukimla tu umeharibu mahusiano. Anaanza kuleta wivu usionamaaana wakati wewe ni mpita njia tu.
  9. R

    Naomba mtoe tip kwa wahudumu

    Vyuma vimekaza na tip hatutoi. Akili kumkichwa
  10. R

    Naomba mtoe tip kwa wahudumu

    Hali ngumu inampelekea mtu kuwa mwizi! Huo kweli ni wizi hata mi siungi mkono kuzidishiwa bei au bill! Juzi kati nimeenda kunywa sehemu, nimepiga zangu vyombo naomba bill yule kazidisha hela. Nikamuuliza hii imekaaje? Mara ooh, mara ooh, nikamchana pale pale. Dada mara mia uniombe lakini sio...
  11. R

    Naomba mtoe tip kwa wahudumu

    [emoji23][emoji23][emoji23] Hayajakufika
  12. R

    Naomba mtoe tip kwa wahudumu

    Hongera sister
  13. R

    Naomba mtoe tip kwa wahudumu

    Hongera bro
  14. R

    Naomba mtoe tip kwa wahudumu

    Hata huyo aliyekuzidishia alizidiwa na ukali wa maisha ndo maana alifanya hivo. Imagine hana chanzo kingine cha kipato na muda wake mwingi anautumia pale na akitoka amechoka anaenda kulala, aaamke arudi tena shift ifuatayo?
  15. R

    Naomba mtoe tip kwa wahudumu

    Tip ni motisha bro! Tip ni hamasa, hakuna anaypenda kazi inayomdhalilisha utu wake
Back
Top Bottom