Recent content by rodgers edson

  1. rodgers edson

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Startimes Tz Bei zenu kama dollars bora dollars inapanda na kushuka/endeleeni kupandisha tu Ila.......
  2. rodgers edson

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Vodacom Tanzania km mnavyojiita Sijwahi kuacha salio kwny line yangu nikaikuta hata iwe sh 10/huduma kwa wateja wanasema sina huduma yyt ya makato toka kwao lkn kila siku nakwata salio/hvyo basi nimefanya mahamuzi magumu line nimeikata kwa ss niko TTCL
  3. rodgers edson

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Dawasco Mbezi Juu barabara ya kwenda St Marr’s wiki ya pili sasa maji hayatoki ndani tunachota barabarani kwny bomba lililopasuka tena kwa kujificha/Mmefunga mabomba mapya mpk leo hamjayaunganisha sijui sisi tuishije ili hali mnajua wengi wetu tunatumia vyoo vya ndani ambavyo vinahitaji usafi...
Back
Top Bottom