Recent content by Rocky1

  1. R

    JamiiForums Tanzania Sijui ntatibuje tattizo hili?

    Nyama Ile Ile ila mapishi hutofautiana
  2. R

    JamiiForums Tanzania Hivi korosho zinaleta Allergy wadau?

    Jana nikiwa njiani kutoka kazini. Nilipanda bus pale magomeni. Tulipofika kinondoni mkwajuni aliingia mdada mtanashati kwenye bus na kuketi nami. Kwa kuwa nilikuwa nikila korosho sikuwa na budi kumkaribisha, yule dada akanishukuru lakini akaniomba radhi na kuniambia yeye huwa ana allergy na...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Inahitajika Brand New Laptop

    Ninayo acer core 3
  4. R

    JamiiForums Tanzania Magumu ya ndoa ushauri jamanii tumuokoe huyu mwanamke

    Hapa kuna kila sababu ya wanajf kuamini huyo mke wake amemfanyia mazingaombwe mme wake. Mazingaombwe ( ugagula)
  5. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mdada anayejua kuogelea

    Mchagua jembe hafai kwa ukulima, wewe una yako na si kutaka kujua kuogelea. Labda utuniambie unataka kujifunza kuogelea bwawa la chumvin...!! Na swala la kutaja umri na kujifunza kuogelea vinauhusiano gani.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Napata shida na hii namba

    Duh kaka umenivunja mbavu.
Back
Top Bottom