Serikali naomba mpokee ushauri huu,tuko huku mtaani baadhi tunaona mamo haya,kwanza kuna siku nusra mtoto wa darasa la 5 ajinyonge huku kisa mzazi hakuna na sh 1000 yakumpakwa ajili ya mtiani wa kufungia shule,ushauri kwa sasa shule za serikali zimekuwa na gharama sana,binamu yangu darasa la nne...
Umeandika kitaalamu sana mkuu,yani kitaalamu mno,na kuna mchoro nauwaza hapa wangeunganisha ccm wangepiga bao sana.TISS wanatakiwa kukaa watu makini sana.
Mkuu sasa hiv nchi ipo kwa wapiga dili tu,yani walio juu ndio mda wao wa kupiga dili,viongozi wenzetu wameamua iwe hivyo,hakuna anaye jari,shamba la bibi hili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.