Recent content by roby2906

  1. R

    JamiiForums Tanzania TANZIA Sophia Nyerere, Mjukuu wa Baba wa Taifa afariki Dunia

    Apumzike kwa Amani daah inauma Sana Bibi kuzika mjukuu
  2. R

    JamiiForums Tanzania Gharama za umeme zimepanda lini? Tsh.10,000 kwa unit 72 badala ya 82 imekuwaje?

    Yaani nilikuwa nilikuwa nafuatilia huu mjadala nikajua Niko peke yangu wa 10000 kwa Units 28
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hatuwasiliani ila nataka ajue simchukii

    Ukisikia umeacha huku unapenda ndio hiyo vumilia tu ndugu yangu maana maumivu yake sio mchezo
  4. R

    JamiiForums Tanzania Soon nakuwa mama wa kambo. Nahitaji maombi yenu na ushauri wa maisha haya mapya

    Nakubaliana na wewe kabisa baba alichepuka akapata mtoto wa kike baada ya mama kugundua akamwambia kamlete aje akae na ndugu zake akaletwa akiwa na miaka 3 mama alimlea na kumpenda Kama mwanae wa kumzaa na yeye hakujua chochote kwamba yule si mama yake mpaka alivyofika form four watu wakaanza...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Amenidhalilisha vibaya nalazimika kumuacha

    Kama nakuelewa hivi
Back
Top Bottom