Kuna ndugu yangu mmoja alikuja nyumbani kwetu kwa vile alikuwa na matatizo kidogo sasa yapata miaka miwili sasa tangu aje kwetu, tatizo ni kwamba nilishawahi kufanya nae mapenzi.
Baada ya hapo nikampotezea, lakini kwa siku kama tatu amekuwa akiwa na mazoea ambayo hakuwahi kuwa nayo juu yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.