YOTE NI SAWA HAKUNA MTU MWENYE UZOEFU NA NDOA KAMA ANAUZOEFU NI WA NDOA YAKE ACHENI USHAURI WA HOVYO HOVYO KATIKA MASWALA YANAYOGUSA JAMII YA WATANZANIA UWE CCM UWE CHADEMA CUF NA VINGINEVYO WEKA UTAIFA MBELE CHAMA BAADAE NA TUJADILI KWA STAHA UNAKASIKA SI HIARI YAKO KUNA MTU KAKUZUIA KUCHEKA...
JAMANI MWAZO YA MTU HATA KAMA UNAYONA WEWE HAYAFAI NI MAWAZOM YA MTU TU UKUBALI UKATAE NI YAKE KUMBUKENI USI "BARABARA ILIYO NYOOKA HAIKUPI DEREVA MAKINI" WEWE ULITAKA MIGOGORO IWE WAPI KWAKO WENGINE WAJIFUNZE AU KWAO WAO WAJIFUNZE PIA KUMBUKA NI HERI UGALI NA MLENDA KWAKO KULIKO SINIA LA PILAU...
HAPA TUNAZUNGUKA MMBUYU TU KIONGOZI KAMA MUHOGO SIJIUI MUONGO HUYOHUYO MUHONGO NDO WALE AINAYA WATOTO MTOTO ALIYE SIKIA WATU WANAGOMA KWA KUWA MKATE HAUPO AKAMSHAURI MZAZI WAKE KWA KUSEMA SI MUWAPE KEKI"PROF NI UFINYU WA MAWAZO KUTOKA YA JUMLA HADI KITU KIMOJA KWA UNDANI"SASA JIULIZE...
Salaam,
Napenda kujumuika nanyi katika jambo ambalo linanikera mara kwa mara,haswa juu ya mali na ukomo wake,matumizi na hata utunzaji wake.
nilijaribu kuangalia fedha inayoweza kumtosha mtanzania wa kawaida na yule wa kati nilipata kigugumizi kidogo,japo nifanikiwa kufanya mahesabu na kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.