mie nina google pixel 6 pro nimeupdate juzi kwenda android 13 ila hiyo calling clear sijaiona wala kuipata!!
Sent from my Pixel 6 Pro using JamiiForums mobile app
simu yangu ni samsung a71 5g inanigomea kuninstall gbwhatsapp baada ya ku update rom kwenda android 13!msaada jaman kama kuna njia ya kufanya. MSAADA WATAALAMU PLEASE
naomba kuuliza!hivi sheria ipoje kwa mtu kuchukuliwa kwa kuhisiwa kuwa ni mwizi na kufungiwa ndani na mtu mmoja anayemhisi kamuibia na kumpiga na vitu vyenye icha kali ikiwa ni pamoja na visu, koreo, nk!
Hadi kumnyofoa kucha zote na kumchanachana mwili mzima na kumnyofoa nyofoa nyama mwilin na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.