mm nimehitimu form four na nimepata div 4 ya 27, nikiwa na c ya chem, c ya bios , d ya geog, d ya kisw, d ya phys,d ya civ na f ya math. mm akili inanituma niende adv. kwa combination ya CBG huku nikiwa natafuta c nyingine na mimi naamini nitajitahidi. lakini nikaambiwa nikifanya hivyo form six...