robertmbilinyi
New Member
- Feb 19, 2016
- 3
- 0
mm nimehitimu form four na nimepata div 4 ya 27, nikiwa na c ya chem, c ya bios , d ya geog, d ya kisw, d ya phys,d ya civ na f ya math. mm akili inanituma niende adv. kwa combination ya CBG huku nikiwa natafuta c nyingine na mimi naamini nitajitahidi. lakini nikaambiwa nikifanya hivyo form six nitafanya mtihan kama private candidate, je kwa hiyo combination ninyi kwa uwelewa wenu nitaweza kuimudu? au niende chuo? naomba ushauri wako please sisi sote ni ndugu.